Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hajaachika. Aliamua kuacha mwenyewe. Ni hiki kijamaa kinachoitwa Kichwa Kichafu. Kinaumiza mioyo ya dada zetu sana. Kinawaingia kwa gia ya pete za uchumba halafu kikishaiteka mioyo yao kinahamia kwingine haraka. Saa hizi kinahangaika na totoz moja inayoishi Sauz baada ya kufanya madhara makubwa kwa Nsamaka, Carpa na akina dada wengine humu. Ni shida!
Hahahahaha.
carbamazepine na sammyluv wananifahamu vizuri hizi tuhuma ni za uongo kabisa mzee wa data.

Hak wawili ndio na nawaamini
 
e541b844eb88f0c9f3c6a592cfd3c094.jpg
Dah!
 
Back
Top Bottom