cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Like like like
Leo usilete zile picha zako za jana zinatishaCatch you later my dears
Ha ha haa. Waliogopa kupata nightmares hao. Ila alikuwa influential sana mpaka desturi zake zingine zimevia na kuingia mpaka kwenye Ukristo...Hahahaha
Tulikuwa wanne tuna chat baada ya kuweka zile picha waliswepa wote nikabaki alone! Hahahaha
Ukiingia huu uzi fata utaratibu mkuu.Deliberation by Fally ipupa
Kweli kabisa[emoji23]Nadhani unafahamu vizuri hizi data za huo
Nimefika kiongozi wanguKichwa kichafu umefika
ujazweeeeeeJazaaaaaaaa
Toa likes mkuu..Na haya mambo ya kunya na kunyewa tena yanatoka wapi?Kunya unyewe hii style haijawahi muacha MTU salimini
Tunawajua..lazima wacheze muziki wetu..""toa likes upate likes""Wanakuja kufuata likes
Nakumbuka neno lako.Kweli kabisa[emoji23]
Lala mama maana kazi nzito hiiCatch you later my dears
Aisee. Never thought of this before. Simba anakamata koo unakata pumzi 2 minutes ushakufa. Fisi alivyo mjinga na mroho anaweza kukula kuanzia miguuni [emoji23][emoji23][emoji23]. Heri kuliwa na simba kama kuliwa na fisi.
Usiki mwema kumbe umefika kwakoJamani wapendwa, t was nice kuwa hapa, tutaonana kesho nikiwa nashangilia kupost uzi wa 100k, mlale poa
carbamazepine alikuwa anakuulizia maana nami nilikuwa nakutafuta babyNipo nililala kidogo leo nitakesha humu
Kula likes zako kwanzaTunawajua..lazima wacheze muziki wetu..""toa likes upate likes""
Kula likes kwabza