carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuna mwingine humu anaitwa nani sijui id yake imenitokaHumu ukiwa na mpenzi ni lazima uwe mjanja mjanja. Ukizubaa tu unakuta Kichwa Kichafu keshavalisha pete [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine humu anaitwa nani sijui id yake imenitokaHumu ukiwa na mpenzi ni lazima uwe mjanja mjanja. Ukizubaa tu unakuta Kichwa Kichafu keshavalisha pete [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahha watu mnapenda kuchunguzaData nimeshazipata. Ndo mmetoka kwenye fungate. Hongereni!
Kimeumuka halafu cha motooooo !!!Kitumbua
Ndiyo faida ya uzi huu. Tunataniana na kucheka...Hahahha watu mnapenda kuchunguza
Haturuhusu matusi,mapovu wala lugha zisizo na staraKwahiyo huku hata mtu akitukana mnampa like
...wana sifa mbaya ya kutesa japo si wote!Mama wa kambo
Toa likes. Matusi utafungiwa. Jf ni Moja ileileKwahiyo huku hata mtu akitukana mnampa like
Dunia duaraAkikujibu mwambie namsalimia
Naona kijana utuuzima umekufika sasa komaa na nsamaka achana na kuwinda winda kama Kichwa Kichafu aka KK[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakuwa Andjul bila shaka...[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu sasa angalau katulia sasa hasa ukizingatia kuwa karudi kwa ex wake...Kuna mwingine humu anaitwa nani sijui id yake imenitoka
Nikikuona wewe tu najua sammyluv yupo wapisammyluv kakimbilia wapi tena?
Haya chukua moja hii fastaaaaaakuna mijitu sioni kabisa like zao
Jaribu uone kitakachokupata!Kwahiyo huku hata mtu akitukana mnampa like