andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ta ta tayari...Achana nae huyo[emoji125] [emoji125]
Ta ta tayari...Achana nae huyo[emoji125] [emoji125]
Asante penzi la kweli tuhongera mkuu!
Hahaha aisee zaid ya jela hioNa ruhusa yenyewe mpaka ashauriwe na kaka yake SHIMBA YA BUYENZE.
Hawawezi hapaHongera sana ila kua makini kuna wazee wa kunyatia humu
Nashukuru kama unafurahi....[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ila unanichekesha kinyama
Wachina wanasingiziwa!Mchele wa plasitic
Yap!Mawe tu au cyo
Cc:Kichwa KichafuUko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Uko wapi, nikufuate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu nitulie
Moyo wangu unaniuma kwani kimya kimetanda
Ningekuwa na uwezo wa kujua ulipo
Ningekufuata huko
Nikujulie hali
Niachane na mawazo ya kukuwaza wewe
Nakukuota wewe
Iko siku moja, moja, moja
Tutajaonana nawe
Mimi, mimi nawe
Ni kweli, neno mama ni kwa umpendae kwa dhati tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bora umekubali ni mama yako
Toa likes nawe upate liked[emoji4]
Mtoto kafundwa kwao na jua wengi wanamtamaniMbona Baby S anaonekana mpole mpole tu hana maneno mengi. Mambo yakimzidia anasingizia macho yanamuuma huyoo anakwenda zake.