Hahahhah KK mzee wa PeteHumu ukiwa na mpenzi ni lazima uwe mjanja mjanja. Ukizubaa tu unakuta Kichwa Kichafu keshavalisha pete [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa kunyapia nyapia...sina maana hiyo[emoji125] [emoji125]Ni kweli, neno mama ni kwa umpendae kwa dhati tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mjini bila kupata ubuyu maisha yanakua magumHahahha watu mnapenda kuchunguza
Hahaha hutaki nipewe Data. Kisa KKAchana nae huyo[emoji125] [emoji125]
ukishaimeza basi. Ni mpaka kifo. Jakitoo unasikia hii maneno mama?Ndoa ndoano
Ingekua mraba sijui ingekuaje daahDunia duara
Firauni...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Ukistajabu ya mussa uta yaona ya nan?
NsamakaNi kweli, neno mama ni kwa umpendae kwa dhati tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kichwa Kichafu katulia jamani muacheniNaona kijana utuuzima umekufika sasa komaa na nsamaka achana na kuwinda winda kama Kichwa Kichafu aka KK
Unanisingizia mkuu...Na ruhusa yenyewe mpaka ashauriwe na kaka yake SHIMBA YA BUYENZE.
Hahaha kabisa. Nawatu wanakuwa marafiki hata hawajaonanaNdiyo faida ya uzi huu. Tunataniana na kucheka...
Umepata kula likeFirauni...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️