Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Taarifa hii timamu
Kumbuka la kitimu timu
Tulishanapowe jangwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi hasilani
Mwenzio kwako taabani oh oh oh
Kindani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini
 
Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Hallo hallo, hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari nafika darisalama
Kila kona nasikia siamini kwani nani huyu kijana
T. I.D allaa kumbe weye
Yuwapiwee, (hallo hallo)
Yuwapi mamake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiyee
Yuwapi babake harusi aje hapa tuhangaike naye
 
Likes nazitamani Ila sina Furaha leo jana juzi tangu sikukuu ya IDD... Aisee dunia hii mbaya kweli ngoja nijaribu kujipiga kisu nikifa bhasi nisipokufa jera ileee[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pole sana mkuu (kama uko siriazi) Tafuta wanasaikolojia watakusaidia !

Hapo hapo ulipo bila kujali dini yako piga magoti umuombe Mungu wako. Lia sana ukiweza...and you will be OK..

Kama unatania ushindwe na ulegee!
 
Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mengi tumeshuka
Oh, maneno mengi walisema, kote bara
Na visiwani oh oh oh
Kindani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini
Unanipa burudani kweli Numbisa,ubarikiwe
 
Back
Top Bottom