Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

raisi wa kupaki basi duniani
In the last 11 seasons, Cristiano Ronaldo has scored more goals than Tony Pulis' teams (542-521)
1100572
 
Baada ya kuanza kupata matokeo hayo mazuri, wengi wanaanza kuyazoea na hamasa waliyokuwa nayo inaanza kushuka. Hamasa ikishashuka hawapati tena matokeo makubwa na hapo maisha yanakuwa ya mazoea na hakuna makubwa wanayofanya.
 
kama unataka hamasa ambayo inadumu kwa muda mrefu au kama unataka kurudisha hamasa ambayo imepotea, basi unahitaji kupata nafasi kama aliyoipata kijana wa kwenye hadithi niliyokushirikisha hapo juu. Unahitaji mtu wa kukusukuma uingie kwenye bwawa la maji yenye mamba wa kali.
 
Huenda bwawa unaloogopa kuingia wewe ni biashara mpya ambayo unataka kuanza lakini kila wakati unaahirisha na kuona hujawa tayari. Unahitaji mtu wa kukusukuma kuingia kwenye biashara hiyo na ukishaingia utaweka juhudi kubwa ili usipate hasara.
 
Huenda bwawa lako ni kutaka kuikuza zaidi biashara yako, ambayo kwa kipindi kirefu imedumaa eneo moja. Lakini kila ukifikiria kuchukua hatua mpya unaona kama utapoteza kile ulichonacho sasa. Hapa unahitaji mtu wa kukusukuma kwenye kuchukua hatua hizo mpya ili uweze kukuza biashara hiyo.
 
Back
Top Bottom