Hii inastahili kuwepo kwani haraka haraka haina barakaVipi hii ya pole pole ndio mwendo?
Me naona kama inachelewesha mamboHii inastahili kuwepo kwani haraka haraka haina baraka
Ila kwa njia ya upanga au bila njia ya upanga hii naomba nisahihishe ππSina uhakika wa hili jibuAmani haipatikani........
Hahaha kakupunguzia hewa chafuAninyimaye mbazi ........ π
Ila kwa ncha ya UpangaIla kwa njia ya upanga au bila njia ya upanga hii naomba nisahihishe ππSina uhakika wa hili jibu
Hapana taratibu ndio mwendoMe naona kama inachelewesha mambo
ShukranIla kwa ncha ya Upanga
Bro hii kazi unaielewa sana?
Ahsante .. walau umetabasamu tunapata Amani!Nimeamka salama
Naendelea fresh
Mmh pizza naionaga kwenye picha tu bora uje na viazi vya kuchoma nisipate shida ya kula vitu vigeni[emoji2]
π€Anaejipiga mwenyewe.......
πππHahaha kakupunguzia hewa chafu
SawaHapana taratibu ndio mwendo
πππNimepunguza ukali wa maandishiπππ
Habari yakoAhsante .. walau umetabasamu tunapata Amani!
Hivyo viazi angekuepo SYB tunge vipata kwa urahisi! Wacha tufanye mpango wa matunda.