Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Inanikosha sana hiki kipindi.Na hata haina maneno mengi ila inaniliwaza sana.
Ni mpenzi wa hizi tecno pia.
I hope kumekucha salama huko.
Sawa bro
Mimi nipo safi sana, naimani Muumba anakusimamia pia