Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
ngoja nikupe mji wa kwenda ili unitajieMaana yake tufikirie wote ila jibu lake hapo "halii"
ngoja nikupe mji wa kwenda ili unitajieMaana yake tufikirie wote ila jibu lake hapo "halii"
Nyangumi 😀😀Avumaye baharini papa.....
FarajaBaada ya dhiki......
Hahah noma sanaNyangumi 😀😀
Hizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu 😀😀😀Hahah noma sana
Tupe na maana zake kama vpHizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu 😀😀😀
Aisee nashukuru sana Hawachi.Karibu kufuturu kwangu leo Capitalpool
Zipo katika orodha ya methali ila sio maarufu sana kama wakina haba na haba 😂Hizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu 😀😀😀
Karibu sana mpendwaAisee nashukuru sana Hawachi.
Nitafika usijari🙂🙂
Muulize Davet zingine sijui kwa kweliTupe na maana zake kama vp
Ajipigae mwenyewe haliingoja nikupe mji wa kwenda ili unitajie
Maana ni mjuzi wa mathali ila kuna methali unaandika najiuliza hizi ni new methali 😜😂😂😂😂😂Zipo katika orodha ya methali ila sio maarufu sana kama wakina haba na haba 😂
ShukranAjipigae mwenyewe halii
Hahah! Kwamba toleo jipyaMaana ni mjuzi wa mathali ila kuna methali unaandika najiuliza hizi ni new methali 😜😂😂😂😂😂