Patience bro, daku tumekula mda si mchache sana 😀 😀Njema sana Bro ..
Hapa kwema nasubiri kufuturu tu. Swaumu inakaba si kidogo!
Humaliza mboga.Chovya - chovya .....
😀😀😀 Sawa!Patience bro, daku tumekula mda si mchache sana 😀 😀
Bukheir, makein mushkil.Bukheri allahadulah keif nte?
Ndo ndo ndoChururu si......