myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkwepe...!Baniani mbaya......
Hupepea..!Bendera.....
Jioni kuna mvua...!Biashara asubuhi.......
Mkimbie..!Ibilisi wa mtu ....
HahahaJioni kuna mvua...!
Kuliko sindano..!Bora kinga......
[emoji23][emoji23]Nilipata A ya kiswahili [emoji12]