moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tangu lini mkamba akawa mtanzania
Tangu lini mkamba akawa mtanzania
Aseee, barabarani kuna shida
Njiwa laki 8?![]()
Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi
Ukiachana tofauti ya bei ya njiwa huanzia elfu 10 pair moja ya njiwa Wa kawaida, elfu 60 kwa wale weupe, na wengine wapo wanauzwa hadi laki 8 kwa pair moja! (Kazi moja ya njiwa ni urembo,burudani,kitowewo na baraka) Kabla ya kufuga njiwa hao ni vyema sasa kutambua masharti yao; Kwanza kabisa...www.jamiiforums.com
Acha aisome namba, siyo kila wakati uwe na furaha tuJamaa anamtihani sanaView attachment 1102183View attachment 1102184
Hahahaha, majirani zako hawasalimii mpaka ucheke!Uzi unachekesha balaa.
Nimecheka mpaka majirani wamekuja kunisalimia
Timu yote sasa bila jamaa imeshavurugika vibaya sanaCr7 alipoondoka bale na isco walichonga sana wakidhan ndo muda wao kushine kisa walikua wanabaniwa na ronaldo kilichotokea wote wawili viwango vikashuka kwa kasi
Alipokuwepo Kila failure wanamsingizia kasababisha mara wanabaniwa kisa yake,kasepa wameboronga wote hata ramos hasikiki siku hiziTimu yote sasa bila jamaa imeshavurugika vibaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, majirani zako hawasalimii mpaka ucheke!
Kwan umeiona hio mention? Maana nilihisi nakosea sehemuUmeweza sasa?
Mimi ata kushare nyuzi humu siwezagi