Gigantic and dwarfed
Inasikitisha sanaKupigwa, siyo lazima tupigwe na wanasiasa hata kwenye soka pia tunapigwa na wajanja View attachment 1101920View attachment 1101922
Marahaba jirani....hujamboShikamooo jirani
Mmm huyu wakati wa mechi anakuwa kama jiniHahahaa kama hiviView attachment 1101958ya ukweli kweli
Nachukia kuona ligi kubwa kama ile inakosa VAR kwasababu uonevu mwingi sana, ukiangalia LALIGA utaona utendaji wa haki uko.
Tim pacha za Munich zilifunga idadi sawa ya magoli siku ya jana.Bundesliga ndio imeisha janaView attachment 1102040Hao wazee waliofunga magoli mawili ya mwisho wameaga vizuri maana ndio ilikua mechi yao ya mwisho hapo Buyern
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji91]watumishi wa umma mwaka huu mutageuka mashetani
View attachment 1102150