Njema Sana sijui wwHabari za jumapili
Salama mkuu za kwako?Habari za jumapili
Hii issue yao hawa jamaa imezua mijadala mingi sanaKupigwa, siyo lazima tupigwe na wanasiasa hata kwenye soka pia tunapigwa na wajanja View attachment 1101920View attachment 1101922
Hahah! Huo wakati uwa mbaya sana kwakweliMahubiri ya gwajiboy[emoji23]
Salama mkuu za kwako?
Salama ndugu za kwako?
Shukrani sana mkuu. TupoNjema Sana mkuu poleni na weekend
Nipo salama, thanksSalama ndugu za kwako?
Shukrani sana mkuu. Tupo
Nipo salama, thanks
😂😂😂😂😂😂Hivi kitanda chako kipo hivi?View attachment 1101955mbona huwa haulali
Hahahaa kama hiviHuwa nalala ila silali sana
😂😂😂😂😂😂
Hivi haya mambo unapost huwa yapo kweli au ni editing tu?
Aisee basi watu tunaishi dunia moja lakini imegawanyika sana mana mambo mengine kama hayatokei duniani, kile kitanda sio poa 😀😁Hahahaa kama hiviView attachment 1101958ya ukweli kweli
Mbona hamkuniita? Nililala mapemaUlipotelea wapi maana tumekutafuta sana jana usiku 😀
Tulihisi hivyo utakua umelala hivyo kukuita tuliogopa kukushtua usingiziniMbona hamkuniita? Nililala mapema
Vibaya hivyo, next time mniamsheTulihisi hivyo utakua umelala hivyo kukuita tuliogopa kukushtua usingizini