Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Heheh! Sawa tutakua tunakuamshaVibaya hivyo, next time mniamshe
Heheh! Sawa tutakua tunakuamshaVibaya hivyo, next time mniamshe
Poa poaHeheh! Sawa tutakua tunakuamsha
Mi mzima hofu kwako, nadhani sasa moyo wako umeshatulia baada ya machungu uliyoyapitia
Salama mkuu za kwako?
KamweneHatujambo /mnogage vipi umzima
Nzuri za kwako
Salama bro, kwema huko?Habari zenu
Inanikumbusha wakati furani kwenye Klabu ya Simba.Hii issue yao hawa jamaa imezua mijadala mingi sana
Inaoneka majukumu yamekukamata broNjema bro
Salama bro, kwema huko?
Itakua wakina Hance hao 😁😁Inanikumbusha wakati furani kwenye Klabu ya Simba.
Kuna wa wachezaji walikuwa wanasajiliwa na watu furani furani na wao kuwalipa mishahara na kulazimisha lazima wapangwe.
Baadaye waliwauza na kulamba hela zote[emoji23][emoji23]
Jana na juzi majukumu yalibamba, nadhani na leo itakuwa hivyo ingawa siyo kiviileeInaoneka majukumu yamekukamata bro
Poa dearNzuri za kwako
😃😃 Sasa wewe unataka kunikumbushia machungu maana nilishaanza kusahau, hakuna namna maisha lazima yendelee. Nashukuru Mimi mzima sanaMi mzima hofu kwako, nadhani sasa moyo wako umeshatulia baada ya machungu uliyoyapitia
Duuu, pole.[emoji2][emoji2] Sasa wewe unataka kunikumbushia machungu maana nilishaanza kusahau, hakuna namna maisha lazima yendelee. Nashukuru Mimi mzima sana
UsijaliDuuu, pole.
Nia haikuwa hiyo