Pole na majukumu ila ndio jambo la msingi zaidiJana na juzi majukumu yalibamba, nadhani na leo itakuwa hivyo ingawa siyo kiviilee
Bobi nae anaroho ngumu kweli. Duh
Mmmh hii picha inaongea lugha tata au macho yangu yananidanganyaKing MakerView attachment 1102015
🤗Poa dear
Mzunguko wa kwanza Liverpool vs Manchester City.....
Nani alishinda hapa mkuu?Tukio la kukumbukwa 1990.
Phares Kabuye vs Mzee BabaView attachment 1102027
Salama, tunamshukuru Mungu.Kwema as kwako