Hee!!!!View attachment 1102235😂😂😂😂 jamani
Toka wachukue tenda ya kufundisha Kiswahili South naona wabongo nao wameamua 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tumeanza wizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamoja mkuu wewe bila ata jina avata zako tu ni utambulisho toshanimebadilisha username kutoka Damushin kuelekea Daemusin
Nimeona nimeshangaa nikadhan nina njaa ya wali ndo maana naona mashikolo kumbe jina limebadilishwanimebadilisha username kutoka Damushin kuelekea Daemusin
nimebadilisha username kutoka Damushin kuelekea Daemusin
bayern munich wana nguvu sana kwenye market, si ajabu kukuta bajeti yao inaweza kuhudumia timu tatu za ujerumaniCompetition in this league is still lacking. It is impossible in EPL for one team to have this kind of domination for 7 years in a row.
Tupo pamoja mkuu wewe bila ata jina avata zako tu ni utambulisho tosha
teh teh teh dawa yako upate mualiko na mapemaaa kabla iddi haijafika.Nimeona nimeshangaa nikadhan nina njaa ya wali ndo maana naona mashikolo kumbe jina limebadilishwa
hahahahahaaaaa hongera kwa ubingwa, tafadhali mwambie guardiola apunguze kasi kidogo.Tupo pamoja mkuu wewe bila ata jina avata zako tu ni utambulisho tosha
😀😀😀Sitamani kufuga kuku tena.
Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao. Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu. Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbuka ka picha ka kucha
Mambo, Unaendeleaje leo?Nimeona nimeshangaa nikadhan nina njaa ya wali ndo maana naona mashikolo kumbe jina limebadilishwa
sikutaka kupoteza maana halisi ya neno daemusin (warrior)Shukrani kwa kutufahamisha Mkuu 🙏🏽, nilikuwa bado sijastukia. Any reason(s) behind your decision Mkuu?
bayern munich wana nguvu sana kwenye market, si ajabu kukuta bajeti yao inaweza kuhudumia timu tatu za ujerumani
pia wana nguvu kubwa sana ya kimaamuzi nyuma ya pazia kwenye chama cha soka cha ujerumani.
sikutaka kupoteza maana halisi ya neno daemusin (warrior)
😁😁😁Ngoja Wakenya waone hii kitu tuone watakavyotoa mapovu.
Kabisaa msinisahau tena zenji mnajua kupika balaa capitalpool asione hapa nae akataka mualiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]teh teh teh dawa yako upate mualiko na mapemaaa kabla iddi haijafika.
Acha wapigwe maana hakuna namnaWatu wanajipigia tu siku hizi
Nahisi itakua hivyo mana hao Barca wanaongoza mbili hapa, huyo Messi anafanya atakavyoWith today's Real Madrid defeat to Betis, it is guaranteed that they will finish with at least 18 points less than Barça who's still got one game to play.
This a new historic record that surpasses the previous one of 17 less, from the 2017-18 and 1984-85 seasons.