capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Vyote hivyo hana ila anapenda wapishi wazuri.hivi jamaa ni mroho au mchoyo?
bahati imemuondokea kwa muda but itakaporudi mutafuzu fainali ya ligi ya mabingwa.Hahah! Shukrani mkuu ila huyo jamaa bado anadeni kubwa na sisi
Poa bro ngoja sasa hivi nitakua napita kimya kimya 😁😁Usifanye hivyo Buana 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo emoj za kiss sina hapa nisije weka za kuliaHa hah
Mgonjwa unaongea sana buana 😀 😀
Wacha nipumzike kidogo.
Nafurahi upo hapa nasi😘😘
#KissMeBack
Nikweli kabisa yani hii timu bila jamaa watapata tabu sana sijui wafanye nini tubarcelona wajiandae kisaikolojia kuanzia sasa, messi umri unasogea na nguvu zinamuishia.
messi huyu wa kipindi hiki man to man style unaweza kumzuia tofauti na yule wa mwaka 2012
Inshaalah!bahati imemuondokea kwa muda but itakaporudi mutafuzu fainali ya ligi ya mabingwa.
Sawa Buana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo emoj za kiss sina hapa nisije weka za kulia
#mwaaakissyakikwetukoromije
Kwanini?Jiwe linatupeleka shimoni
Ww hulion hili jiwe ni zito mtumbwi unaelekea kuzamaKwanini?
chonde chondeJiwe linatupeleka shimoni
Somo kubwa kwa hazard.naona madrid wamemchoka gareth bale, wameamua kumfanyia figisu za kumfukuza kama mwizi wa kuku
Apparently Bale just said in the dressing "I've got three years contract left. If they want me to go they'll have to pay me €17m a year. Otherwise I'll stay. Doesn't matter if I don't play, I'll just play golf". Sounds a little suspect
Mungu atunusuru 🙏Ww hulion hili jiwe ni zito mtumbwi unaelekea kuzama
Unawazimu ww. Aliesema JPM nan?chonde chonde
mjomba wake yumo humu ndani, alishawahi kumfungulia mashitaka kijana fulani kwa kumwita JPM ni genius.
kazi kwako mimi kazi yangu itakuwa ni kukuletea chai ya maziwa gerezani
ngoja nimwite mjomba wake tofali
BAK
AminaMungu atunusuru 🙏
yes, madrid walitegemea makubwa kutoka kwake baada ya kuondoka kwa ronaldo lakini jamaa ameendelea kuwa bad debt.Somo kubwa kwa hazard.
Kane aliepuka mtego angeishia kuwa bale part two maana wote ni majeruhi maarufu,vipaji wanavyo