D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
geniusUnawazimu ww. Aliesema JPM nan?
neno wazimu huku kwetu maana yake almasi
geniusUnawazimu ww. Aliesema JPM nan?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂genius
neno wazimu huku kwetu maana yake almasi
mhhhh ngoja nimweke mbali mdogo wangu wa kike, kumbe anapenda wapishi wazuri na si vyakulaVyote hivyo hana ila anapenda wapishi wazuri.
Man u wakimchukua wanakaribisha tatizo kubwayes, madrid walitegemea makubwa kutoka kwake baada ya kuondoka kwa ronaldo lakini jamaa ameendelea kuwa bad debt.
aende popote lakini si manchester united
injury prone.Man u wakimchukua wanakaribisha tatizo kubwa
bana,ila kwan hutaki shemeji?mhhhh ngoja nimweke mbali mdogo wangu wa kike, kumbe anapenda wapishi wazuri na si vyakula
shemegi anayependa code simuezi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni vyakula
bana,ila kwan hutaki shemeji?
Hilo ni tatizo kubwa hope tutamuepukainjury prone.
mshahara mkubwa kama sanchez.
kwa kuwa ni muingereza hata kama atacheza ovyo hatodhihakiwa
Shemeji atakurahisishia kazi ya kudownload vikorea vitano kwa sekundeshemegi anayependa code simuezi,
atamfanya mdogo wangu asome programming language kila siku.
python
kotlin
java
c#
ASP.NET
android
mamaaaaa na wakati huo huo amuandalie chakula, si atamkwanyua wote huyu binti
Kwa sisi watz unapelekwa pale alafu haupati namba ni poa tu ili mradi pesa inaingia kila wiki na wakivunja mkataba nalipwa fresh.naona madrid wamemchoka gareth bale, wameamua kumfanyia figisu za kumfukuza kama mwizi wa kuku
Apparently Bale just said in the dressing "I've got three years contract left. If they want me to go they'll have to pay me €17m a year. Otherwise I'll stay. Doesn't matter if I don't play, I'll just play golf". Sounds a little suspect
Moja haikai wala mbili haikai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa anamtihani sanaView attachment 1102183View attachment 1102184
Kitendo alichofanya Zidane ni cha ajabu, nadhani alihitaji miaka miwili au zaidi nje ya Madrid kabla hajarudi tenaMungu amsaidie tu, binafsi nilitegemea aende kufundishi timu nyingine maana kurudi pale pale nikuharibu sifa nzuri aliyojitengenezea. Ngoja tuone usajiri atakaofanya kama utamsaidia
Ase, Madrid wamechoka sanaWamemuahidi kumpa pesa ya kutosha lakini mbali na hivo wachezaji karibia wote wamechoka.
Wanasikitisha sanaAse, Madrid wamechoka sana