Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Things you can't buy in stores
20190518_105347.jpeg
 
tatizo linakuja hela wanayotengeneza bayern munich ni halali hivyo basi hata sokoni wanakuwa na nguvu kubwa ukilinganisha na wapinzani wake mfano borussia dortmund.
kinachoumiza zaidi unakuta hizi timu ndogo zikifanikiwa kutengeneza msingi mdogo wa timu yenye kueleweka kiucheza matajiri wa bayern munich wanazibomoa.
rejea usajili wa robert lewandowski, mario goetze, benjamin parvard, matt hummels, manuel neuer, sule etc

sijui sheria za ujerumani zinasemaje juu ya uwekezaji wa matajiri binafsi kama vile tunavyoshuhudia nchini uingereza, nadhani njia pekee ya kuondoa ukoloni wa bayern munich ni matajiri kununua timu baadae wazijenge kwa nguvu ya fedha.
halafu chengine pengine unakuta mgawanyo wa mapato kupitia uonyeshaji wa mechi kupitia televisheni bayern wanakusanya hela nyingi mno kuliko wapinzani wake, tofauti na uingereza ambapo utofauti wa hela wanazopata ni mdogo sana ndio maana klabu nyingi za england zina nguvu sana sokoni

kuna nyakati ufaransa olympique lyon alichukua ubingwa zaidi ya mara nne mfululizo kama nipo sahihi lakini kwa sasa tokea waarabu wavamie nguvu hiyo wameipoteza

hizi takwimu zinatofautiana, na hii inatokana zaidi na waliofanya research hawafanani
View attachment 1102329
Njia ya kweli itakayovunja ukoloni wa Bayern Munich ni kuuzwa kwa baadhi ya timu ndogo kwa vibopa.
Mpaka sasa Bayern haijapata changamoto ya maana kwenye Bundesliga
 
Back
Top Bottom