Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anataka kusema nini? Tusioe kwa sababu ya 50/50 ya makaratasi??
 
60814859_174152363613731_1294929110744694831_n.jpg
 
gazeti la marca katika ubora wao

The Santiago Bernabeu exploded after the second goal from Betis. Booing every Madrid player touching he ball, fans left the stadium with fury early on. The only player that was shown love was Keylor Navas which got a huge standing ovation and a nice potential farewell from the fans after the game.
 
Sio kosa lako tulivyokudaka kwenye kucha na bro kukudaka ishu ya mwanza lazima akili ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah kwakweli!! Ila na mimi nimemdaka issue ya nyanda za juu naona akili yake itachemka mara mbili zaidi 😀....

Pia nakushukuru sana aisee mara kadhaa umekua ukinishape inaezekaka bila ata wewe kujua ila issue nyingi unanishtuaga ndio na mimi fahamu zinarudi sasa 😁😀
 
Back
Top Bottom