Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

uyo mke mmoja tu kuna wengine wamepunguza uzito mpaka kufikia kg 50, watakapolazimishwa kuoa wake wawili si watabaki mifupa mitupu kama katuni ya rango.
wanawake wenyewe ndio hawa waliojaa wivu kama wametiwa hamira (yeast)
"wanawake wenyewe ndio hawa waliojaa wivu kama wametiwa hamira (yeast)"

Mmmmh!!!
 
uyo mke mmoja tu kuna wengine wamepunguza uzito mpaka kufikia kg 50, watakapolazimishwa kuoa wake wawili si watabaki mifupa mitupu kama katuni ya rango.
wanawake wenyewe ndio hawa waliojaa wivu kama wametiwa hamira (yeast)
Hahah! Umenikumbusha mwanangu mwenyewe Rango....

Labda huko kwao wamekubaliana na hali sio kama kwetu
 
Back
Top Bottom