capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Anataka kusema nini? Tusioe kwa sababu ya 50/50 ya makaratasi??Wanaume hii siri nawapa; zama zimebadilika, Tusioe!
Zamani suala la kuoa lilikuwa miongoni mwa suala la muhimu sana katika maisha ya mwanaume.. pamoja na kwamba mwanaume hufanya mipango na projections za maisha yake lakini hakuna swala lililokuwa zito mbele yake kama Kuoa.. Huo ndio ukweli! zama hizo wanawake waliogopa wanaume na kuwaheshimu...www.jamiiforums.com
Dah! na sisi wa JF?
Anataka kusema nini? Tusioe kwa sababu ya 50/50 ya makaratasi??
Dunia inaenda kasi sana. Leo tunashauriwa et wanaume tusioe π πHaeleweki Mkuu.
Sio kosa lako tulivyokudaka kwenye kucha na bro kukudaka ishu ya mwanza lazima akili ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππ ata mwenyewe najiona
Hapana sisi wa JF tupo Offline.Dah! na sisi wa JF?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona nini?Aaah nitake radhi bro π
Hivi bado hujafaulu kale ka style ka Bro?Sio kosa lako tulivyokudaka kwenye kucha na bro kukudaka ishu ya mwanza lazima akili ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho huwa inauma tu Mkuu!
Bado boss hadi bradha kakosa mbinu za kunielekeza mwanafunzi mgumu kama nywele za pogbaHivi bado hujafaulu kale ka style ka Bro?
Hahah kwakweli!! Ila na mimi nimemdaka issue ya nyanda za juu naona akili yake itachemka mara mbili zaidi π....Sio kosa lako tulivyokudaka kwenye kucha na bro kukudaka ishu ya mwanza lazima akili ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]