Njaa imemtoa mafichoni, baada kumpigania Lowassa kwa miaka mitano sasa hana lake tena.Jerry Silaa awatolea uvivu wanaosaka Urais
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ndg Jerry Slaa akiwa jijini Mbeya kwenye sherehe za kuwaaga Makada wa CCM wanaohitimu vyuo vikuu amewatolea uvivu wanaotaka kugombea urais mwaka 2020. Amesema kwa mila na desturi 2020 ni JPM. Kama kuna wenye hamu ya kugombea wahamie vyama vingine ili wapate fursa...www.jamiiforums.com