Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nedved on Juventus managerial search: "Inzaghi or Sarri? Assessments are in progress, we are not in a hurry. It will not be easy, we know that this cycle will not be repeated. So far we have not contacted other coaches. We have clear ideas, but nothing has been done yet."
 
Picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameweka kidole mdomoni huku akiwa karibu na Rihanna imeweza kuwavitia followers 187m.

Nyota huyo wa Brazil alindika ujumbe: 'Queen and powerful woman.'
 
Neymar hakuwepo katika sherehe za kutoa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka Union Nationale des Footballeurs Professionnels (UNFP) iliyofanyika jana usiku huku nyota mwenzake wa PSG, Kylian Mbappe akitwaa tuzo mbili.
 
Mbappe anataka kucheza Real Madrid kwa kuwa ana ndoto ya kutwaa ubingwa wa Ulaya chini ya Zidane aliyefungulia mlango ya kutokea Gareth Bale, James Rodriguez, Isco na Karim Benzema.
 
Mbappe alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ligue 1 na mchezaji bora chipukizi wa mwaka huku Neymar, pamoja na kuwa majeruhi alifanikiwa kuingia katika kikosi bora cha mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…