Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Yannick Carrasco, 25, ambaye anakipiga kwenye ligi kuu ya Uchina, klabu ya Dalian Yifang, anataka kuhamia katika ligi ya Primia na Arsenal wanatarajiwa kumnyemelea, klabu hiyo ilikaribia kumsajili katika dirisha dogo la usajili la Januari. (Sun)
 
Mshambuliaji aliyepoteza kiwango wa Manchester United na Chile Alexis Sanchez, 30, anatarajiwa kukatiza mapumziko yake ya mwisho wa msimu na kurudi klabuni ili kujifua na kujihakikishia nafasi katika kikosi cha United. (Sun)
 
Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amemwonesha dalili za wazi winga raia wa Wales Gareth Bale, 29, kuwa muda wake katika klabu hiyo umefikia tamati, baada ya kusema kuwa asingemuingiza mchezoni kutoka benchi walipofungwa Jumapili na Real Betis hata kama kungekuwa na fursa ya kuingiza wachezaji wanne. (Eurosport)
 
Bale hata hivyo amewaambia wachezaji wenzake kuwa anapanga kusalia klabuni hapo mpaka kwisha kwa mkataba wake na takuwa mwenye furaha kucheza gofu endapo hatapangwa kucheza. (Radioestadio, via Mail)
 
Manchester United watarasimisha nia yao ya kumsajili kiungo wa Lyon, Tanguy Ndombele, 22, pale tu mustakabali wa kiungo wao Paul Pogba, 26, utakapokuwa wazi. (Manchester Evening News)
 
Kocha wa Lille, Christophe Galtier amethibitisha kuwa winga raia wa Ivory Coast winger Nicolas Pepe, 23, ataihama klabu hiyo hivi karibuni. Mcezaji huyo anahusishwa na uhamisho na klabu kongwe za Manchester United, Arsenal na Bayern Munich. (Manchester Evening News)
 
Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Crystal Palace Wilfried Zaha 26, lakini wapo tayari kutoa kitita cha pauni milioni 40 tu, ambacho ni nusu ya kiwango ambacho Palace wanadhamiria kumuuza mshambuliaji huyo ambaye ni raia wa Ivory Coast. (Sun on Sunday)
 
Klabu ya Manchester City wanapigiwa chapuo la kumsajili kiungo mkabaji wa Atletico Madrid Rodrigo, 22, lakini ilikukamilisha usajili huo, kocha wa City Pep Guardiola yawezekana akamuuza streka wake raia wa Gabriel Jesus, 22. (Sun on Sunday)
 
Klabu ya Paris St-Germain wapo tayari kumsubiria kipa wa Manchester United David de Gea, 28, amalizie mwaka mmoja uliosalia kwenye mkataba wake kisha wamsajili bure kama mchezaji huru. (Sunday Express)
 
Chelsea watampatia jezi namba 10 winga wake raia wa England Callum Hudson-Odoi, 18, ambayo imeachwa na Eden Hazard, ikiwa ni moja ya njia ya kumshawishi mchezaji huyo kinda kusaini mkataba mpya utakaomfanya asalie klabuni hapo. (Mail on Sunday)
 
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
SASA IZO NI SIFA ZA WANAUME WASIOKUWA NA HELA AU NI SIFA ZA WANAUME NA WANAWAKE WANAOTOKA VIJIJINI AMBAKO BADO WANAAMINI MAGUFULI NA BAK HAWANA UHUSIANO WOWOTE WA KINDUGU
๐Ÿ‡ ๐Ÿ‡ ๐Ÿ‡
SIFA 8 ZINANIHUSU HAPO JUU.

zisizonihusu
​

  1. Sishabikii yanga wala timu yoyote Tanzania๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ​
  2. sina meno ya kufungulia soda wala sina hela ya kununua soda​
  3. zanzibar wapishi wa vitumbua ni wachache mnoo labda ukimbilie soko la mwanakerekwe ukutane na mama ntilie kutoka Bara, asubuhi nikiamka nakimbilia bakuli la urojo kama mbuzi mtoto anavyokimbilia maziwa​
  4. sina stori na mwanamke kwa sababu ni mfuasi wa imani ya buddha​
  5. simchukii mwanamke ila tukikutana namuangalia miguu yake, kama miguu yako ni mibaya kama ya ndovu a.k.a tembo hata salamu yangu sikupi, kwangu mimi uzuri wa mwanamke ni miguu na sio sura kama wanavyoamini wengineo​
  6. sijawahi kula shughulini, nyumbani kwa mtu au mghahawani, lakini ninapokula nyumbani mpaka sahani nairamba kama mnyama paka๐Ÿˆ๐Ÿˆ​
  7. nikikuta watu wanapigana natafuta njia ya nyumbani ilipo, sipendi ujinga kwa sababu marehemu karume aliwahi kusema wanaume hawapigani ovyo ndio maana alipiga marufuku mchezo wa boxing​
  8. suruali zangu zote nyeusi kwa sababu ni mvivu wa kuosha nguo na hata shuka langu jeusi.​
  9. nikiingia chooni naosha mwili wangu kwa dakika tano tu halafu natoka mbio kama niliyefumaniwa, naziogopa sana sabuni za kunukia. Tafadhali usiniulize kwa sababu gani, nadhani jasusi BAK atakuwa na majibu.​
  10. muda wote natembea na ndara huku kwetu zenji tunaziita kandambili, huo muda wa kuvaa soksi nitapata wapi?​
  11. kiingereza sijui lakini nakaa na kamusi la oxford pindi ninapoangalia drama.​
 
@BAK unaitwa huku
 
Today, in a hospital in Krakow, a woman gave birth to 6 children, the first case ever registered in Poland. Cracovia's official twitter account announced that the children will have free lifetime season tickets

hongera kwa kuzaa watoto sita kwa mpigo, nina wasiwasi bwana harusi na bibi harusi walikutana gerezani.
aigoooo siku ya mechi mipira yote ilipasuka, nadhani walitumia korosho kwa mwezi mzima ili waongeze nguvu za kike na kiume.
hongera mwanamama wewe kwa kubarikiwa tumbo kubwa lenye uwezo wa kuhifadhi viumbe sita wakati mmoja.

hongera serikali ya awamu ya 5 kwa kuwawezesha watu wa poland kupata baraka ya watoto 6.
kabudi oyeee
korosho oyeeee
kufyatua oyeeee
vipigo kwa mashangazi zenu oyeee

hivi wanachama wa CCM hamusijikii ovyo kutembelea JF?
muda wote munakutana na maneno ya dhihaka kutoka kwa wapinzani wenu na bado munavumilia.

Numbisa= hana chama, kila sehemu yupo kama njaa na shibe
BAK= chadema muongo aliyevaa vazi la mjomba wake huku akila maisha ya raha marekani
moudgulf =mpinzani uchwara anayeogopa maandamano ya mange kimambi, siku ya maandamano alisingizia tumbo la kuhara
myoyambendi =CCM wa kutupwa ambaye hata ukimchinja damu yake inatoka kijani lakini anajifanya mpinzani
ina maana BAK na myoyambendi ni watumishi wawili wasiojuwana ๐Ÿ‡ ๐Ÿ‡ ๐Ÿ‡
ngoja nikafutari nipate nguvu ya kujibu mapovu :


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ