[emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahahaha kali ya mwaka๐๐๐๐
SASA IZO NI SIFA ZA WANAUME WASIOKUWA NA HELA AU NI SIFA ZA WANAUME NA WANAWAKE WANAOTOKA VIJIJINI AMBAKO BADO WANAAMINI MAGUFULI NA BAK HAWANA UHUSIANO WOWOTE WA KINDUGU
๐ ๐ ๐
SIFA 8 ZINANIHUSU HAPO JUU.
zisizonihusu
Sishabikii yanga wala timu yoyote Tanzania๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ sina meno ya kufungulia soda wala sina hela ya kununua soda zanzibar wapishi wa vitumbua ni wachache mnoo labda ukimbilie soko la mwanakerekwe ukutane na mama ntilie kutoka Bara, asubuhi nikiamka nakimbilia bakuli la urojo kama mbuzi mtoto anavyokimbilia maziwa sina stori na mwanamke kwa sababu ni mfuasi wa imani ya buddha simchukii mwanamke ila tukikutana namuangalia miguu yake, kama miguu yako ni mibaya kama ya ndovu a.k.a tembo hata salamu yangu sikupi, kwangu mimi uzuri wa mwanamke ni miguu na sio sura kama wanavyoamini wengineo sijawahi kula shughulini, nyumbani kwa mtu au mghahawani, lakini ninapokula nyumbani mpaka sahani nairamba kama mnyama paka๐๐ nikikuta watu wanapigana natafuta njia ya nyumbani ilipo, sipendi ujinga kwa sababu marehemu karume aliwahi kusema wanaume hawapigani ovyo ndio maana alipiga marufuku mchezo wa boxing suruali zangu zote nyeusi kwa sababu ni mvivu wa kuosha nguo na hata shuka langu jeusi. nikiingia chooni naosha mwili wangu kwa dakika tano tu halafu natoka mbio kama niliyefumaniwa, naziogopa sana sabuni za kunukia. Tafadhali usiniulize kwa sababu gani, nadhani jasusi BAK atakuwa na majibu. muda wote natembea na ndara huku kwetu zenji tunaziita kandambili, huo muda wa kuvaa soksi nitapata wapi? kiingereza sijui lakini nakaa na kamusi la oxford pindi ninapoangalia drama.
whyHahahahaha kali ya mwaka
Sijahamia huko,pamoja na huduma afodabo hakuna privacy ujue maana mkulu akitaka taarifa zako fasta anapewa hadi vifekero vyako vyoote vya mitandaonHa ha ha umeanza na mambo yako ya jezi
Tayali umehamia huko Prisca?nasikia titisielo wapo poa sana kwa speed na gharama zake zipo afodabo,