😁Namba 2 haihusiani kabisaaaa!SIFA ZA MWANAUME ASIYE NA HELA:
1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika. [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
kaburi limekua!Mv Bukoba enzi zakeView attachment 1103528
View attachment 1104069[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana bro,,fanya kuushea hapa niupitieThat's what's up bro
Kuna uzi unazungumzia mambo ya mortuary umeuona?
Nice!! Hawachi wewe ni moja ya watu nawapenda sana hapa ndani!Daku time
Unamfuatulia?Ka swali ka kizushi kaka Ndege JOHN vp yu wapi? Maana kwenye uzi wake kule hapatikan
Shukran mno, Nakupenda pia 😍😍😍Nice!! Hawachi wewe ni moja ya watu nawapenda sana hapa ndani!
God bless You with everything You Need.
🙏🙏🙏
"He was forced to carry his sweetheart"
Unataka kusemaje Bro?[emoji849][emoji849]
Thank You😇Shukran mno, Nakupenda pia 😍😍😍
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1103661
Mi mzimaSalama Moudy.. u Mzima?
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]Namba 2 haihusiani kabisaaaa!
Naam kuna kitu nilitegemea kujifunza kupitia uzi wake lakin leo inaelekea siku ya tatu kapiga kimyaa sijui kipi kilichomsibu....Unamfuatulia?
Sina la kusema broo, mi nasikiliza stori zenu nashangaa na kufurahi.Unataka kusemaje Bro?