Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Alaaaa kumbe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,huna lolote Bro,sema ulitaka umtaje hajjaty tu..
Sema ngoja nifanye kuusearch Bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Alaaaa kumbe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,huna lolote Bro,sema ulitaka umtaje hajjaty tu..
Sema ngoja nifanye kuusearch Bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, unatisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849]SIFA ZA MWANAUME ASIYE NA HELA:
1. Viatu huisha upande mmoja
2. Kushabikia YANGA
3. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe
4. Kupenda kuvaa suruali zenye rangi ya kung'aa.
5. Kufungua soda kwa meno
6. Kuvaa socks hadi magotini hata kama hayupo mazoezini
7. Anapenda sana kuangalia movie zilizotafsiriwa
8. Kufuta jasho kwa vidole
9. Kupiga miayo hadi machozi yanamtoka.
10. Kuingilia ugomvi hata wa watoto wadogo
11. Kumchukia kila mwanamke anayemiliki gari
12.Kumiliki smartphone iliyopasuka kioo.
13.Akitengewa chakula lazima amalizie kunywa mpaka na mchuzi kwenye kibakuli.
14.Kila mwanamke anayemchangamkia kwake anajua ashapata zari la kupendwa.
15.Wanapenda sana kutafuna vitumbua asubuhi asubuhi bila chai.
16.Akiingia kuoga bafuni, anahakikisha anasugua mpaka ndala akiamini usafi huficha umasikini.
17.Akipanda dala dala lazima ashike nauli mkononi ili isije kudondoka.
18.Wanapendaga sana kukaa siti za dirishani kwenye safari yoyote.
19.Ukiangalia mashati yake mengi utakuta kola za mashati zimeanza kuchanika. [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ha ha ha sawa bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kupitia bro
😁 wapenda vinono weye!Mpaka hapo nimefurahi!
Ningejua Age yako ningejua naitikiaje Ila kwa sasa silent is best reply i can offer[emoji16]Shikamoo
Utakuwa unanifahamu kiasi which is good!!😁 wapenda vinono weye!
🤣🤣🤣 dis iz dediketedi tu ze wani and only.....Kuna mtu anaenda kudedikatiwa wahuuuuuu
Mwenye pesa anaamkiwa! hata akiwa mdogoNingejua Age yako ningejua naitikiaje Ila kwa sasa silent is best reply i can offer
Sisi wajamaa hatuamini falsafa za kibepari...na hiyo ni mojawapoMwenye pesa anaamkiwa! hata akiwa mdogo
unapenda i things, fast cars, nike shoes, cute babes etc.. I guess Yeah.. kidunchu!Utakuwa unanifahamu kiasi which is good!!
Poa jamaa yangu!Sisi wajamaa hatuamini falsafa za kibepari...na hiyo ni mojawapo