Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
[emoji16][emoji16][emoji16] nilicheka sana pia nilipoitupia macho mara ya kwanza"He was forced to carry his sweetheart"
Haya maneno yanaendelea kunichekesha sana[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] nilicheka sana pia nilipoitupia macho mara ya kwanza"He was forced to carry his sweetheart"
Haya maneno yanaendelea kunichekesha sana[emoji23][emoji23]
🤣🤣Vile vidole vya kwenye uzi ndio kama anavyovipenda Bhudda wetu![]()
Nakumbuka babu aliniambia, mjukuu wangu ukitaka kuoa mwanamke mchunguze vidole vya mguu
Wandugu sijui hii nilioambiwa na babu kutakua na ukweli, Babu: mujukuu wangu mwanamke mwenye vidole vilivyoacha nafasi kubwa pale pakuvalia kanda mbili dolegumba hutoifurahia ndoa yako maana wanawake namna hiyo sehem zao za siri hua zimeachia sana Ukitaka kufurahia tafuta mwanamke vidole vya...www.jamiiforums.com
Nashindwa kuuleta bro kama vipi utafute mwenyewe, alouanzisha anaitwa Madame SHapana bro,,fanya kuushea hapa niupitie
Okay, nilidhani unataka kunihakikishia kuwa Fraggy anajua kupika!Sina la kusema broo, mi nasikiliza stori zenu nashangaa na kufurahi.
😁😁😁[emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Vile vidole vya kwenye uzi ndio kama anavyovipenda Bhudda wetu
Nitafanya tuisheni ya mapishi Capitalpool... Dah! wewe si unakula ndizi, maharage na utumbo tu lakini..Okay, nilidhani unataka kunihakikishia kuwa Fraggy anajua kupika!
Na chapati pia ..Nitafanya tuisheni ya mapishi Capitalpool... Dah! wewe si unakula ndizi, maharage na utumbo tu lakini..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,huna lolote Bro,sema ulitaka umtaje hajjaty tu..Nashindwa kuuleta bro kama vipi utafute mwenyewe, alouanzisha anaitwa Madame S
😅 Na mkate wa kumimina, na mkate wa ufuta, na sambusa, na cutlesi, na kachori, na kababs, na vitumbua, na bagia, na mkate wa tambi na zabibu, .....Na chapati pia ..
😁ShikamooLeo ndio nmegundua kuwa nami nina pesa
Mpaka hapo nimefurahi!😅 Na mkate wa kumimina, na mkate wa ufuta, na sambusa, na cutlesi, na kachori, na kababs, na vitumbua, na bagia, na mkate wa tambi na zabibu, .....
Niendelee?
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee,huna lolote Bro,sema ulitaka umtaje hajjaty tu..
Sema ngoja nifanye kuusearch Bro [emoji23][emoji23][emoji23]
Twafa!Naomba niletewe orodha ya viongozi ambao wanatumia laini za @ttcl_corporation na sio ziwepo tu bila kutumika, huwezi kulipwa mshahara wa Serikali na hutumii mtandao huo, sijamaanisha msitumie mitandao mingine." - Rais Magufuli.