capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ahsante sana ingawa hujajiweka kwenye list!unapenda i things, fast cars, nike shoes, cute babes etc.. I guess Yeah.. kidunchu!
Ahsante sana ingawa hujajiweka kwenye list!unapenda i things, fast cars, nike shoes, cute babes etc.. I guess Yeah.. kidunchu!
Lay It DownSlow down
Bobby V
Usiku mwema mnduguPoa jamaa yangu!
I am the exception to the rule!Ahsante sana ingawa hujajiweka kwenye list!
Salama Ninge pole na starehe..Ha ha
Salama Fraggy?mfungo unaendaje?
"Cash rules everything around me"Sweetest girl(dollar bill)
Wyclef jean
Huenda anajua ila sina hakika, labda tumuulize mwenywe kama kweli anajua kupika makande, mlenda, ugali wa muhogo,samaki nguru, kisamvu kwa karanga, makopa, magimbi ya kuchemsha nk. Fragaria uje uthibitisheOkay, nilidhani unataka kunihakikishia kuwa Fraggy anajua kupika!
Kwani unajua kupika chakula gani hasa?Nitafanya tuisheni ya mapishi Capitalpool... Dah! wewe si unakula ndizi, maharage na utumbo tu lakini..
Ha hahHuenda anajua ila sina hakika, labda tumuulize mwenywe kama kweli anajua kupika makande, mlenda, ugali wa muhogo,samaki nguru, kisamvu kwa karanga, makopa, magimbi ya kuchemsha nk. Fragaria uje uthibitishe
Cc Fragaria
Hahahaa[emoji16]Shikamoo
starehe??starehe zipi tena Fraggy?Salama Ninge pole na starehe..
Mfungo tunaenda nao vizuri tu! tunashukuru
Wanawake wa vijijini tulio na miguu ya ndovu tutakoma mwaka huu!🙌🙌🙌🙌
SASA IZO NI SIFA ZA WANAUME WASIOKUWA NA HELA AU NI SIFA ZA WANAUME NA WANAWAKE WANAOTOKA VIJIJINI AMBAKO BADO WANAAMINI MAGUFULI NA BAK HAWANA UHUSIANO WOWOTE WA KINDUGU
🏇 🏇 🏇
SIFA 8 ZINANIHUSU HAPO JUU.
zisizonihusu
Sishabikii yanga wala timu yoyote Tanzania🏴🏴 sina meno ya kufungulia soda wala sina hela ya kununua soda zanzibar wapishi wa vitumbua ni wachache mnoo labda ukimbilie soko la mwanakerekwe ukutane na mama ntilie kutoka Bara, asubuhi nikiamka nakimbilia bakuli la urojo kama mbuzi mtoto anavyokimbilia maziwa sina stori na mwanamke kwa sababu ni mfuasi wa imani ya buddha simchukii mwanamke ila tukikutana namuangalia miguu yake, kama miguu yako ni mibaya kama ya ndovu a.k.a tembo hata salamu yangu sikupi, kwangu mimi uzuri wa mwanamke ni miguu na sio sura kama wanavyoamini wengineo sijawahi kula shughulini, nyumbani kwa mtu au mghahawani, lakini ninapokula nyumbani mpaka sahani nairamba kama mnyama paka🐈🐈 nikikuta watu wanapigana natafuta njia ya nyumbani ilipo, sipendi ujinga kwa sababu marehemu karume aliwahi kusema wanaume hawapigani ovyo ndio maana alipiga marufuku mchezo wa boxing suruali zangu zote nyeusi kwa sababu ni mvivu wa kuosha nguo na hata shuka langu jeusi. nikiingia chooni naosha mwili wangu kwa dakika tano tu halafu natoka mbio kama niliyefumaniwa, naziogopa sana sabuni za kunukia. Tafadhali usiniulize kwa sababu gani, nadhani jasusi BAK atakuwa na majibu. muda wote natembea na ndara huku kwetu zenji tunaziita kandambili, huo muda wa kuvaa soksi nitapata wapi? kiingereza sijui lakini nakaa na kamusi la oxford pindi ninapoangalia drama.