Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (52).jpg
 
Aisee!
Makande=sikuli kabisaa siyapendi.
mlenda= sijawahi kupika
ugali wa muhogo= sijawahi pika na sipiki!
samaki nguru= sijawahi pika na sipiki its unhealthy.chumvi imezidi
kisamvu= My favourite lakini cha nazi sio karanga!
Makopa na magimbi=mkale kwa Bibi zenu..
[emoji3]
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyakula vyetu vya kimila vyote umevikataa.
Umeniangusha sana
 
Back
Top Bottom