Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kama Corea wanayo yao tu wanatumia wenyewe ndani ya nchi yao, hawa China kweli wapo wengi pia wanauzalendo sana labda wanaweza kuunga mkono chanyumbaniManake watumie wachina tu😀😀
Ila wachina bado ni wengi sana wanaweza fanya kitu!
Wako mtu billions! Wanaweza kufanya mambo yao, wakubaliane kutotumia bidhaa za US kwa muda ..