Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bobu Africa

Siyo kila kampuni ya Kichina iliyoko Afrika imewekeza kwenye viwanda au uzalishaji mkubwa. Kampuni ya Bobu Africa ni kampuni iliyoanzishwa na wanandoa wawili wa Kichina ili kuendesha shughuli za utalii.

Waanzilishi wa kampuni hii wamebuni mfumo ambao watalii hutembelea wasanii na wabunifu wa Kiafrika ili kuwaongezea pato lao.
 
FAW

FAW ni kampuni ya China iliyowekeza zaidi ya dola milioni 50 huko Afrika Kusini katika kiwanda cha kuunganisha magari. Kampuni hii huzalisha zaidi ya magari 5,000 kwa mwaka wakilenga soko la nchi ya Afrika Kusini na nchi nyingine za Afrika.

Mnamo mwaka 2013 iliingia kwenye ushirikiano na kampuni ya Perfection Motors ili kuunganisha na kuuza magari yake nchini Nigeria.
 
1104256
 
Back
Top Bottom