D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
AMUUA MKEWE KWA MADAI KUWA AMEMROGA ILI UUME WAKE USIFANYE KAZI >
Dumala Kalimba(45), mkazi wa kata ya Ntobo Wilayani Igunga Mkoa wa Tabora anatuhumiwa kumuua mkewe kwa kumkata na panga kichwani kwa madai kuwa amemroga uume wake usifanye kazi