Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Siwajui, watu gani hao? Mi msukuma wa mjiniHahah! Kumbe ni mtu wa kanda ya ziwa, unawajua TRM?
Ngoja mwezi mtukufu ukiisha utawajua wapo humu, unatoka mjini gani?Siwajui, watu gani hao? Mi msukuma wa mjini
HahahUzi huu unapoelekea ni pazuri zaidi.
Wanawake acheni tabia ya kuwaambia wanaume wakaoge ndipo mfanye mapenzi
Inasikitisha sana wakuuwww.jamiiforums.com
TaboraNgoja mwezi mtukufu ukiisha utawajua wapo humu, unatoka mjini gani?
Hii ni asubuhi bado mijeba haijaamka.Hahah
duh!Uzi huu unapoelekea ni pazuri zaidi.
Wanawake acheni tabia ya kuwaambia wanaume wakaoge ndipo mfanye mapenzi
Inasikitisha sana wakuuwww.jamiiforums.com
Sasa huko siwanatoka Wanyamwezi au?Tabora
Yes, baadhi ya tamaduni tumefanana.Sasa huko siwanatoka Wanyamwezi au?
Basi nyie wanyamwezi ni wajanjaYes, baadhi ya tamaduni tumefanana.
Ha haa kwanini?Basi nyie wanyamwezi ni wajanja
Hahaha hawachi bana hana point yule mwepesi mno.Leo ndio nimeamini dear ila yule dada ukitaka kujibishana nae utulize kichwa kweli kweli huwa anaandika point vibaya 😀😀😀😀anauwezo wa kujibishana na member wengi bila kushindwa ana msimamo Sana.
Hahahahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee!
Makande=sikuli kabisaa siyapendi.
mlenda= sijawahi kupika
ugali wa muhogo= sijawahi pika na sipiki!
samaki nguru= sijawahi pika na sipiki its unhealthy.chumvi imezidi
kisamvu= My favourite lakini cha nazi sio karanga!
Makopa na magimbi=mkale kwa Bibi zenu..
[emoji3]