moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji41][emoji41][emoji41]
Wengine hawajaumizwa bali wamejiingiza huko kimkumbo,wapo wanaosomeshwa nje kimsaada unakuta anapofikia mwenyeji ndo mkoboaji atabreiwashiwa(brainwashed) weeemwisho wa siku ataona hicho kitendo ni jambo la kawaida. Wapo waliojifunza mashulen etcMtu kama yule huwa haelewi kaumizwa kwenye mahusiano solution kaamua awe vile ni wabishi kweli😀😀😀
Asalam alakum[emoji41][emoji41][emoji41]
Duh! Hiyo squad ilikua na wachezaji kutoka ligi ya ndani wakutosha tu....muheshimiwa raisi haoni kama anafanya makosa kwa kuingilia maamuzi ya benchi la ufundi.
nimelikumbuka sakata la felipe scolari na fundi romario kwenye world cup 2002.
finally felipe scolari akaibuka shujaa kwa kitendo chake cha kuwapa brazil world cup.
Romario has said he cannot believe he is not going to the World Cup and has hit out at coach Luiz Felipe Scolari.
The 36-year-old striker was left out of the 23-man squad on Monday despite massive public support.
Scolari, nicknamed "Big Phil", was blasted by the press with one newspaper labelling him "public enemy number one." But the coach stuck by his decision saying Romario was not picked because he missed the Copa America in Colombia last year.
View attachment 1104482
NaamNyani wa kizungu
nyakati hizo ligi ya brazili ilijaza vipaji tofauti na kipindi cha sasa, pia walipata mwalimu mwenye imani na wachezaji wa ndaniDuh! Huyo squad ilikua na wachezaji kutoka ligi ya ndani wakutosha tu....
Kweli mkuu wa nchi hapo kaingilia taaluma ya mtu ila kwakua yeye ndio mkuu wacha apewe anachotaka
Nimebaki kumuonea huruma naniii ilivyo tamu 🙈🙈🙈Wengine hawajaumizwa bali wamejiingiza huko kimkumbo,wapo wanaosomeshwa nje kimsaada unakuta anapofikia mwenyeji ndo mkoboaji atabreiwashiwa(brainwashed) weeemwisho wa siku ataona hicho kitendo ni jambo la kawaida. Wapo waliojifunza mashulen etc
Kwa hali aliyonayo ni sawa na mwanamke wa kimasai/kurya na ukeketaji kwao jambo la kawaida. Ila wakiwa nje ya jamii zao ndo wanakutana na mishangao ya walimwengu wanabaki kujitetea
Ni nini hiyo tamu? 😁Nimebaki kumuonea huruma naniii ilivyo tamu 🙈🙈🙈
Scolari alichanga vyema karata zake atimae alirejea nyumbani kifua mbelenyakati hizo ligi ya brazili ilijaza vipaji tofauti na kipindi cha sasa, pia walipata mwalimu mwenye imani na wachezaji wa ndani
Mi mgeni so mnijuze mapemaUkiwa humu lazima uwajue TRM, subiri mwenyekiti carbamazepine na Katibu Mkuu ningendako mjumbe wa kamati ya utendaji SHIMBA YA BUYENZE waje, utajua maana ya TRM