Haka katakuja kuwa ka naibu waziri wa elimuChasing a dream....View attachment 1104416
Sio kiberiti kweli hicho mkuu?Mnakijua hiki?View attachment 1104469
Ndio ila huwa ananikwepa maana napenda shortcut,napiga pale panapouma tu haina haja ya magazeti mareefu mara kanye na kim walipandikiza mtoto sijui klynn hivi au vile huo ubuyu ukiuchanganya hauna maana😀😀😀Unaweza kujibishana nae yule kwa maandishi Numbisa
Hii post imedhaminiwa na Cole Williams na Davet [emoji125][emoji125][emoji125]Best of of the best naam huyu ndie CR7 mnyama
[emoji117]mchezaji bora Epl
[emoji117]mchezaji bora la liga
[emoji117]mchezaji bora Serie A
Simply a G.O.A.TView attachment 1104390
muheshimiwa raisi haoni kama anafanya makosa kwa kuingilia maamuzi ya benchi la ufundi.Rais wa Ghana Nana Akufo - Addo kumuita kocha wa timu ya Taifa hilo kuongeanae juu ya suala la kutomuita Asamoah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah! Kumbe ni mtu wa kanda ya ziwa, unawajua TRM?
[emoji16]Hii post imedhaminiwa na Cole Williams na Davet [emoji125][emoji125][emoji125]
Ukiwa humu lazima uwajue TRM, subiri mwenyekiti carbamazepine na Katibu Mkuu ningendako mjumbe wa kamati ya utendaji SHIMBA YA BUYENZE waje, utajua maana ya TRMSiwajui, watu gani hao? Mi msukuma wa mjini
HahahahaNgoja mwezi mtukufu ukiisha utawajua wapo humu, unatoka mjini gani?
Kwahiyo mnyamwezi au msukuma? Fafanua maana hata baadhi ya Wilaya za mkoa huo kama Igunga zina wasukuma pia.Yes, baadhi ya tamaduni tumefanana.
Nyani wa kizunguMdada ukiolew na nyani sababu ya pesa zake pesa zitaisha Nyani atabakia na unyani wake.View attachment 1104487
Mtu kama yule huwa haelewi kaumizwa kwenye mahusiano solution kaamua awe vile ni wabishi kweli😀😀😀Ndio ila huwa ananikwepa maana napenda shortcut,napiga pale panapouma tu haina haja ya magazeti mareefu mara kanye na kim walipandikiza mtoto sijui klynn hivi au vile huo ubuyu ukiuchanganya hauna maana