Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu kama yule huwa haelewi kaumizwa kwenye mahusiano solution kaamua awe vile ni wabishi kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wengine hawajaumizwa bali wamejiingiza huko kimkumbo,wapo wanaosomeshwa nje kimsaada unakuta anapofikia mwenyeji ndo mkoboaji atabreiwashiwa(brainwashed) weeemwisho wa siku ataona hicho kitendo ni jambo la kawaida. Wapo waliojifunza mashulen etc

Kwa hali aliyonayo ni sawa na mwanamke wa kimasai/kurya na ukeketaji kwao jambo la kawaida. Ila wakiwa nje ya jamii zao ndo wanakutana na mishangao ya walimwengu wanabaki kujitetea
 
Duh! Hiyo squad ilikua na wachezaji kutoka ligi ya ndani wakutosha tu....


Kweli mkuu wa nchi hapo kaingilia taaluma ya mtu ila kwakua yeye ndio mkuu wacha apewe anachotaka
 
Duh! Huyo squad ilikua na wachezaji kutoka ligi ya ndani wakutosha tu....


Kweli mkuu wa nchi hapo kaingilia taaluma ya mtu ila kwakua yeye ndio mkuu wacha apewe anachotaka
nyakati hizo ligi ya brazili ilijaza vipaji tofauti na kipindi cha sasa, pia walipata mwalimu mwenye imani na wachezaji wa ndani
 
Nimebaki kumuonea huruma naniii ilivyo tamu πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…