Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa nijue vyakula vya mila zako Moudy wakati sio nilizokuzwa nazo mimi?
Ukitaka unanifundisha mwenyewe au unamleta Mamkwe afundishe! πŸ™‚
Vyakula nilivyokutajia vinaliwa karibia 60% ya watanzania.
Labda kwakuwa tu wewe ni pizza, sausage, chicken tikka masala, chicken curry, chicken recipe, mutton soup, vegetables soup, noodles, spaghetti, macaroni nk.
 
Samatta amegeuka lulu kwa klabu mbalimbali kubwa za Ulaya. Namuuliza kama anatarajia kuondoka mwishoni mwa msimu huu. β€œNdiyo, nitaondoka mwishoni mwa msimu huu,” anajibu Samatta. Jibu lake linakata kiu ya haraka haraka kwa mashabiki wa soka. β€œKuna klabu kama sita za England ambazo zinanifukuzia. Moja inanifukuzia sana na imekuwa ikipiga simu kwa wakala wangu kila siku,” anasema Samatta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…