Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mashabiki wa Genk wanataka staa huyo ambaye ni nahodha wa Taifa Stars abakie kwao kwa ajili ya kucheza katika Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu ujao. Baada ya kufunga mabao zaidi ya 30 katika michuano mbalimbali msimu huu Ulaya,
Hili nalo neno, ana hatari ya kuangukia timu kama Watford ambayo hata kwenye Europa League haimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…