Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Maadui wapo activeLike serious...
Yule jamaa alikua anatafuta kiki kwa pikipiki alafu Cole hakumuelewa dizain kama aka panic hiviISIS gaidi inabidi nicheke kwanza
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Cc:Kichwa Kichafu
andjul
Cole Williams[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Rudi hapa wewe[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahMwenzio analalia chaga leo ujue?acha ukorofi[emoji144]
carbamazepineCc:Kichwa Kichafu
Ya wakubwaMakubwa
Mbona nimetulia saivi skendo ndio zimeshika atamuAmezidi bwana
carbamazepine[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nitapenda na wewe uwepo pembeni...may be holding her purse or something [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Na wewe kamata likes za kulalia...Kul likes kwanza
Watu tunatoka huko yametuchanganya, tuna kimbilia hapa ili ukutane na watu wengi kwa wakati mmoja ili wakubadilishe mawazo. Wengi hawajui faida za makundi ya kwenye mitandaoJana nilisema huu uzi wakati mwingine unapunguza stress,unaweza weka jambo hapa watu wakakupa ushauri,wakati mwingine ni vizur kuongea na strangers kama huna mtu wa kuongea nae si lazima wakishauri hata ukiongea tu watu wakasikiza ni vyema...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwema wakuu
Nimekuja kawapa hi tu
Like zenu sitaki leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. We ndugu yanguMaadui wapo active
Hahahaha.Bro, sasa wewe ni ISIS?
Oooooh nimeelewa bro. You are fighting for your queen's honour. Mpuuze huyo. Ataelewa baadaye...