Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu usifikie hatua hiyo, upo na rafiki zako hapa, lifikishe kwa njia utakayo ona inafaa tulimalize. Dakika ya uhai wako ina thamani kubwa sana kwa jamii inayo kuzunguka. gbefa tumesha zoeana, hatu hitaji kupungua japo hatuwezi kuzuia. Be strong brother
Jana nilisema huu uzi wakati mwingine unapunguza stress,unaweza weka jambo hapa watu wakakupa ushauri,wakati mwingine ni vizur kuongea na strangers kama huna mtu wa kuongea nae si lazima wakishauri hata ukiongea tu watu wakasikiza ni vyema...
 
Back
Top Bottom