carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Koh kohNsamaka baby
Koh kohNsamaka baby
Mkuu ulikuwa haupo nikajenga ukuta. Sina uhakika sana na mkuu myoyambendi kama atakuwa amebwaga manyangaBado unahangaika eeeh? Nsamaka umeshamuacha tena au ni michepuko tu kwa kwenda mbele?
OoooooohoooooowSina tabia ya kudanganya watoto wa watu na mimi na Carba were never an item. Sasa hata sijui unaongelea nini mkuu. Michepuko naona imekuchanganya. Tafuta binti mmoja utulie michepuko hii ni wastage of resources, time, reputation and even your wellbeing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halikuwa mapito saivi ni kijana mstaarabuKK ni kokoro mkuu. Hachagui. Anatembea na rundo la engagement rings, demu wako akizubaa tu anampachika!
Pamoja mkuugoodnight
Ni marafikEsther Bulaya [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Esther Bulaya [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ati nini?Babe jakitoo
NakuonaKuna mtu anaitwa isk umemuona?
Wewe gaid umelud tenaThe end of old circle and the beginning of new
Kula likes leo tunakeshaMwenyewe jana nililala mapema sana
Furaha ikizidi unacheka lakini machzi yanatokaUnacheka au unalia mkuu? But why?
Angalia sana usije ukajilipulia humuAs it was at the beginning so it shall be at the end
[emoji125] [emoji125]Nakuona
Sina nia mbaya mkuu. Trust me...Hata yeye anajua hivyo!Mkuu naomba muache carbamazepine atulie maana naona unakoelekea
Kula like ewe gaid mkubwaAs it was at the beginning so it shall be at the end
Naona anamchezea sharubu simba huyoAti nini?