Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bro, nakusanya hizi parabo zako zote nichapishe kakitabu ka wapendanao nipige hela. Usije ukaanza kunidai royalties...Ungekuwa kama kante aisee una consistence
Bro, nakusanya hizi parabo zako zote nichapishe kakitabu ka wapendanao nipige hela. Usije ukaanza kunidai royalties...Ungekuwa kama kante aisee una consistence
Ni kweli mkuu !Mkuu shimba ya buyenze kamand kinoma
@summyluv[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku malaika wakaamua katukutanisha... Ghafla cocochanel mama mkwe, Cole Williams shemeji mdogo, SHIMBA baba mkwe, kichwa Kichafu mdogo wako,Numbisa wife, carba dada...
Hahaaaa
Asubuhi aliomba lift gari la jeshi nadhani atakuwa kambini anaenjoyMzee wa ikwirir kapotea leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wakati wako ukifika utakufa tu. Hilo halina mjadala!
Ningeshangaa[emoji23] [emoji23] me sikupata bahati ya pete ujue
Me jirani wa mbali [emoji16] [emoji16]Kumbe tupo mitala?
[emoji102]Kimaukweli ukwelii!??
Anza na Mimi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]9174? Ntafika lini huko mbele? Anyway ngoja nianze na hawa wa huku nyuma.
821[emoji102]Rwamkoma
Yani hiyo siku unaweza ukadondoka kwakwel kwa kicheko@summyluv
andjul
carbamazepine
mzee wa liver
ISIS
Cole Williams
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NA wengine wote