[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bado, hebu ninyapie mibaba haija muangukia?Kuna mtu anaitwa isk umemuona?
Eti mimi na wewe tulikuwa an item. When? Where? How? I appreciate your intelligence na jinsi ulivyo calm na hiyo miwani yako ya classic librarian basi naishia hapo...and I have made this clear several times. Sasa naanza kusingiziwa mengine. Au wanataka kunichonganisha na Jakitoo wangu? Washindwe na walegee!Najua ila naona andjul anaanza kuleta ahutuma ambazo hazipo
Kafanyaje[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu cjui Nanyupu ananitafutia Ban
Eeeh,kweli anaenjoy beer za mafunguAsubuhi aliomba lift gari la jeshi nadhani atakuwa kambini anaenjoy
Tena upo kwenye bulls eye kabisa halafu mtu mwenyewe hata silaha huna. Nimeshakoki AK47. Nifyatue?Mkuu au nimeingia anga zako nini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tayari....Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
Bora nivumilie kushare na wewe nnayekufahamuMe jirani wa mbali [emoji16] [emoji16]
Acha ibaki wish auYani hiyo siku unaweza ukadondoka kwakwel kwa kicheko
Hata sikuaminigi kabisaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nini tena?
Sasa alipokuwa anapewa message ya ugoko mpaka ikawa noma we ulikuwa wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh ni mzee wa ikwiriri huyo kweli jakitoo kakuteka hadi unamsahau huyu jamaa
P ni nani?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tayari....
Uchonganisgi sio mzur wanakuonea wivu na jakitoo wako,wapuuzeEti mimi na wewe tulikuwa an item. When? Where? How? I appreciate your intelligence na jinsi ulivyo calm na hiyo miwani yako ya classic librarian basi naishia hapo...and I have made this clear several times. Sasa naanza kusingiziwa mengine. Au wanataka kunichonganisha na Jakitoo wangu? Washindwe na walegee!
Et amekazana ISIS Gaidi nimempa maana bado tu anaforce Gaidi ss si lawama hizKafanyaje[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa hafai...Mi mwenyewe nasikia story tu kuna wenzangu walishavalishwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tayari[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tayari....