Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3d25b015fff30fe8b1c99bd19dbb241b.jpg
ahaàaaa haaa
 
[emoji102]
Mkuu maisha yangu yamepoteza Furaha 100% kwetu kungekuwa na bastola nishatangulia mbele za haki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22]
Mkuu usifikie hatua hiyo, upo na rafiki zako hapa, lifikishe kwa njia utakayo ona inafaa tulimalize. Dakika ya uhai wako ina thamani kubwa sana kwa jamii inayo kuzunguka. gbefa tumesha zoeana, hatu hitaji kupungua japo hatuwezi kuzuia. Be strong brother
 
Eti mimi na wewe tulikuwa an item. When? Where? How? I appreciate your intelligence na jinsi ulivyo calm na hiyo miwani yako ya classic librarian basi naishia hapo...and I have made this clear several times. Sasa naanza kusingiziwa mengine. Au wanataka kunichonganisha na Jakitoo wangu? Washindwe na walegee!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mjibaba umepata boom unakuja kutamba nalo huku. Halafu siku makato ya kurudisha hiyo boom yakianza utasikia makelele kibao...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Msamehe mdogo wako ni uwezo wake mdogo Tu
 
Back
Top Bottom