Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Huu ni Uzi wa likes, ukiangalia kwa makini siku 10 zilizopita likes ulizopata wewe na nilizopata mimi zinafanana au kupishana kidogo sana, ukiona tofauti ya ya likes zaidi 6+ pia itabibi uwajue walionijazia hizo zilizozidi, kama ni wagonga likes wanaojulikana au wamezuka tu kwangu.Sasa huwa mnajuaje I'd mtambuko za mtu?
.. Mfa maji haishi kutapatapa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122].. Mfa maji haishi kutapatapa
Makao makuu ya mahaba Tanga
Aise [emoji23][emoji23]Huu ni Uzi wa likes, ukiangalia kwa makini siku 10 zilizopita likes ulizopata wewe na nilizopata mimi zinafanana au kupishana kidogo sana, ukiona tofauti ya ya likes zaidi 6+ pia itabibi uwajue walionijazia hizo zilizozidi, kama ni wagonga likes wanaojulikana au wamezuka tu kwangu.
Kawaida mafyekero yanamjazia mlengwa
dah kama namuona msichana mrembo
[emoji16][emoji16][emoji16] swadaktaaaMakao makuu ya mahaba Tanga