Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
Prince
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiongelea kwa upande wangu mishe zenyewe nafanya achilia mbali kutumia internet yani ata kupokea simu au kujibu text nakua nashindwa kabisa mana naona vinanichelewesha.....kwa hivyo kwa mujibu wa madai yako hiyo likizo munayochukua kwa sababu ya majukumu huwa hamutumii huduma ya internet?
au kuna mbadala wa forum nyenginezo munazokuwa munazitembelea?
Hahah! Hapo nimekupata sanaaa broHuu ni Uzi wa likes, ukiangalia kwa makini siku 10 zilizopita likes ulizopata wewe na nilizopata mimi zinafanana au kupishana kidogo sana, ukiona tofauti ya ya likes zaidi 6+ pia itabibi uwajue walionijazia hizo zilizozidi, kama ni wagonga likes wanaojulikana au wamezuka tu kwangu.
Kawaida mafyekero yanamjazia mlengwa
huo mguu unaonyesha bwana mdogo alizaliwa na afya njema, kidole gumba ni kikubwa kuliko kichwa cha kenge
😂😂😂twiga anajifanya mjanja lakini jibu alilopewa mhhhhhhh
View attachment 1105039
ujanja mwisho chalinze, lakini hata binadamu ndio tulivyo kwa sababu wengi wetu tunajiangalia maisha yetu pasina kuangalia maisha ya wengine
Hahahaha[emoji23][emoji23]Haaha wenyewe wanasema Kazi na Dawa.
Ubinafsi huoujanja mwisho chalinze, lakini hata binadamu ndio tulivyo kwa sababu wengi wetu tunajiangalia maisha yetu pasina kuangalia maisha ya wengine
Mbona inaonekana hata bila kusinzia
Kisheria anaweza akapata haki yake.Huyo mwanamke ni kama anatapeliwa hivi ..
Si kitu kizuri hata kidogo.
Aliyepiga picha hiyo aje achukue zawadi
Alaaa ila itapendeza zaidMbona inaonekana hata bila kusinzia